
Diamond Platnumz ameachia video ya dundo lake jipya la kuitwa Sasampa akiwashirikisha Focalistic, Uncool, Silas Africa na Xduppy. Hebu angalia kichupa cha Sasampa kwa chini na utupe comment zako hapo danta mtu wetu wa nguvu.
DIAMOND PLATNUMZ ft. FOCALISTIC, UNCOOL,SILAS AFRICA & XDUPPY - SASAMPA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
0 Comments